
Habari za wakati mpendwa msomaji! hivi kwa kawaida ni watu wangapi ambao wanafikiria kujenga? hapana shaka ukifanya utafiti utakuta kila binadamu mwenye akili timamu anafikiria kujenga. Hivyo basi twende pamoja katika habari hii muhimu kwako.
My Name is Omari Saidi Bakari(Eng.), Completed Bachelor Degrees in Civil Engineering from Mbeya University of Science and Technology (MUST) 2016.Prior to that I have been registered by Tanzania Engineers Registration Board(ERB).
Three years of exprience as an Engineer, I have been involved in Various Projects both governmental and private including Design and Consulting,Procurement Aspects,Contracting and Engineering System,project Management,Marketing and Finance.
Insteady of beeing a Civil Engineer also I have competent skills in computer programming and web design.
Appointed as a site supervisor and site engineer and site inspector.
RESPONSIBILITIES:-
1. Supervision of work s
2. Prepare daily and monthly progress and other related project reports.
3. Prepare measurement sheets of the works and process payments.
4. Maintaining quality assurance
5. Organize and attend site meetings
6. Making sure that the contract is completed within the contract duration.
Create ,Design and maintain official websites,Computer software Repair and internet marketing
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna cillum dolore eu fugiat aliqua.
Bachelor Degree of Civil Engineering,
Major courses in STRUCTURAL AND BULDING DESIGN,CIVIL STRUCTURES CONSTRUCTION AND WATER ENGINEERING
Perfomed to a Score of Upper Second Class.
Applcation of Computer Aided Designs Programs(CAD) in Civil Engineering.Get knowledge on application of Masterseries,AutoCAD,Prokon,Civil 3D, and others
Advanced Secondary Education,Studied a Combination of Physics,Geography and Mathematics .
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Lorem ipsum dolor sit amet, conse ctetur adipi sicing elit, sed do eiusmod tempor incid idunt ut labore et.
Phasellus luctus commodo ullamcorper a posuere rhoncus commodo elit. Aenean congue, risus utaliquam dapibus. Thanks!.
Phasellus luctus commodo ullamcorper a posuere rhoncus commodo elit. Aenean congue, risus utaliquam dapibus. Thanks!.
Phasellus luctus commodo ullamcorper a posuere rhoncus commodo elit. Aenean congue, risus utaliquam dapibus. Thanks!.

construction technology
March 26, 2019
![]() MOJA ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulisha na kufikirisha akili za watu wengi ni suala la ujenzi wa makazi. Suala hili huwa gumu kwa wenye nyumba za kupanga. | |
Jambo kubwa ambalo limekuwa likisababisha tafakari kubwa wakati wa mipango ya ujenzi wa nyumba ni namna ya kufanikisha gharama kubwa zinazohitajika, ambazo zinaogopesha wengi. Hizi ni kuanzia
| |
Gharama ni jumla ya nguvu, rasilimali na uwezo ambao unahitajika kwa ajili ya kupata kitu ambacho kinatakiwa kwa mhusika anayehitaji kujenga makazi nyumba yake. | |
Katika ujenzi, gharama huangukia katika rasilimali watu na vitu hususani gharama za ufundi pamoja na nyenzo za ujenzi. | |
Katika mazingira ya sasa ambayo teknolojia imeendelea zaidi, ujenzi wa nyumba umekuwa ni kitu kinachohitaji utaalamu mkubwa ili uweze kukidhi sheria na miongozo iliyopo. | |
Miaka ya nyuma ilikuwa inawezekana kujenga nyumba kwa namna ambayo unataka mwenyewe na ingewezekana kuwa na gharama ndogo zaidi, lakini miaka ya sasa taratibu na sheria zimekuwa zikilazimu kwa namna moja ama nyingine kujenga nyumba yenye kiwango na ubora unaokubalika. | |
"Ni muhimu kujenga nyumba ambayo imekidhi viwango vya kitaalamu na kisheria kwa manufaa bora". | |
Watu wengi wamekuwa wakilalamika ughali wa gharama unaotokana na kujenga kwa kufuata taratibu za kitaalamu bila kujua sababu zinazozalisha gharama hizo. | |
Zipo sababu nyingi za msingi ambazo zinafanya suala la ujenzi liwe la gharama kubwa. | |
Sababu mojawapo ni pamoja na usanifu na mipango ya jinsi ya kufanya uamuzi wa namna jengo na mifumo yake yote inavyopaswa kuwa ikiwamo mwonekano wake, miundombinu, umeme, maji, mandhari na kila kitu kinacho husiana na nyumba. | |
Usanifu ni hatua ya kwanza na ya msingi katika ujenzi na kwamba unapokosea katika hatua hiyo upo uwezekano mkubwa wa kukosea hata mwisho wa ujenzi wa nyumba husika. | |
“Ni muhimu kupata wataalamu ambao wamebobea katika kufanya kazi hii ya usanifu ili uweze kuweka msingi mzuri wa nyumba yako. Hatua hii huweza kuhusika pia katika kukadiria gharama ambazo nyumba yako itagharimu pamoja na muda ambao utahitajika kukamilisha ujenzi wako”. | |
“Lakini pia ili kupunguza gharama za ujenzi unapaswa kujenga nyumba unayoihitaji, hii inamaanisha kuwa kuna watu wanajenga nyumba ambazo hawazihitaji au hazitawasidia kwa muda ambao wamekusudia. Kujenga nyumba ambayo ni kubwa mno au ndogo sana ni sawa na kujenga nyumba ambayo huihitaji. | |
Hakikisha umeshirikiana na mtaalamu wako kujadiliana katika mahitaji uliyonayo na dukuduku nyingine unazozipenda ili uwe umeridhika na nyumba ambayo utaijenga.” | |
Tunashauri kutumia vizuri kila nafasi iliyopo katika eneo ulilonalo wakati wa kujenga nyumba kwa sababu ni mojawapo ya njia za kitaalam za kupunguza ghrama za ujenzi. | |
Pia kila ongezeko la eneo la mita moja ya mraba katika nyumba inagharimu wastani wa Sh. 500,000 kwa nyumba ya kawaida na kwamba hiyo inatoa picha halisi ya kuepuka kuwa na nyumba inayochukua eneo kubwa bila sababu ya msingi. | |
| |
| |
| |
Jambo jingine ambalo Tunashauri ni kuacha kuweka vitu visivyo vya lazima katika nyumba. | |
“Kwa mfano unaweza kuachana na madirisha ya aluminiamu na ukatumia madirisha ya nyavu tu au ukaepuka kujenga makabati vyumbani kwani yanaweza kuongeza gharama za matofali na saruji,” | |
Lakini pia achana na kujenga kila kitu kwa tofali wakati mwingine kuacha nafasi kwa mfano kuwa na sebule, jiko na sehemu ya kulia isiyotengwa na kuta kunaweza pia kusaidia kupunguza gharama. | |
Zinapungua zaidi iwapo uezekaji utapunguza matumizi makubwa ya mbao na mabati mengi bila sababu. |





![]() |
| Mfano wa jengo la ghorofa moja katika hatua za ubunifu. Ukiwa na mahitaji ya kufanya ubunifu wa jengo lako, wasiliana nasi tutakusaidia. |
![]() |
| Mfundi ujenzi wakiendelea na kazi ya ujenzi wa msingi wa nyumba, msingi wa tofali |
| Msingi wa nyumba ukiwa tayari kwa kujenga kuta za kugawanya vyumba. Msingi wa namna hii unauwezo wa kuhimili nguvu zinazoweza kusababisha nyufa. |
| Ujenzi wa linta ambayo pia inatumika kuunganisha nyumba nzima kama ring beam. Ni aina ya ujenzi wa kawaida mitaani kwetu na matokeo huwa bora kama mafundi wataalamu watatumika. |
| Mfano wa nyumba ya kuishi iliyokamilika . PICHA ZOTE NI HATI MILIKI YA Eng.Manyanya |
construction technology
March 24, 2019
construction technology
March 24, 2019
construction technology
March 24, 2019
Copy Right By CONSTRUCTION TECHNOLOGY 2018 | ALL RIGHTS RESERVED +255 682 732 178