Jenga Kisasa kwa bei shindani
- Nyumba hii ina Vyumba vinne vya kulala(4 Bedroom) , Vyumba viwili vyenye vyoo ndani yake(2 Master bedrooms) Vyumba viwili vya kawaida (2 single bedroom).
- ina Chumba kwaajili ya kusomea(Study room),Chumba cha kupumzikia(sitting room),jiko(kitchen),store,chumba cha chakula(dining room) choo cha jumuia( public toilet) vilevile na bafu (bathroom)
- Vile vile ina veranda ya mbele( front verandah) ana veranda ya jikoni(kitchen verandah).
Tufikie sasa kwa nyumba yako bora kwa bei yako +255753629218.
"Maisha Bora Kwa Nyumba Bora"
0 Post a Comment:
Post a Comment